Thursday, January 25, 2007

Shida Ya Nini?

Firi,wasee wengine hunijazz.Unapata mtu amekuuliza swali ingine ata we mwenyewe unabaki huna answer.Kama story za mapero,ama story yoyote tu ya home.Unacheki msee amekuuliza live-kwani hamnanga mbuyu{sp}?Saa hiyo anauliza tu vile unaweza uliza tarehe.Unashindwa huyu naye amenikagua mpaka wapi?
Siwezi uliza msee kitu najua labda itamhurt.Na avoid kabisa.
No wonder kuna vile najipatanga tu nimehave kulapisha story mtu akianza kuongea vizii.
Especially mababi wa mtaa.Beste anakuuliza-mbona unang’ang’ana kufua ming’aro hivo.Hamwezi buy washing machine?
Bana,mambo ingine si poa

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home